Wakati Watanganyika wakifuatilia kwa Kwakaribu drama ya
Katiba Mpya, huku serekali ikiwa imelala fofo. Eneo lenye ukubwa wa
Ekari 100 la bandari ya kale na lenye historia ya Majengo ya kale,
limeuzwa kwa Shilingi Milioni 20. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa alipohojiwa na
TBC, kipindi Usiku wa Habari, alijibu kua hana Taarifa.
Hii imeniuma sana. Hivi sisi Watanganyika tume rogwa au vipi! Yaani tunaziba huku, huku wengine wanatoboa. Hii hali mpaka lini. Yaani wananchi wanarubuniwa kwa Milioni Ishirini wanatoa ardhi ya Ekari 100, yenye Majengo ya Asili???.
Source. TBC-Usiku wa Habari.

No comments:
Post a Comment