Thursday, 11 September 2014

Mashindano ya kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania kufanyika Septemba 13,2014

Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg(wa pili kulia),Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller(wa pili kushoto) na Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari wakiwa wamebeba vikombe vitakavyotolewa kama zawadi wakati wa fainali za kumtafuta dereva bora wa mwaka wa kuendesha Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margaret Legga.
Afisa Mauzo wa Scania Tanzania, Kisali Nnyari(kushoto) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa kutangaza fainali za kumtafuta dereva wa mwaka wa Scania katika shindano litakalofanyika Septemba 13 mwaka huu viwanja vya Tanganyika Perkasi jijin Dar es Salaam.Kutoka kulia ni Afisa Masoko wa Scania Tanzania, Margeret Legga, Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni Scania Tanzania, Anders Friberg na Meneja mauzo wa Scania Tanzani, Steve Miller.

No comments:

Post a Comment