BALAA, tembo mmoja huko Afrika Kusini kwa maksudi kabisa
aliamua kutumia gari la watalii kujikuna na kuegana, na kupita juu ya gari
wakati abiria wakiwa ndani ya gari hilo, ilikuwa ni hatari sana maana gari
lilibonyea na kusababisha matairi kupasuka na vioo vya madirisha kuvunjika.
Baada ya Mr. Tembo kumaliza mbwembwe zake akaendelea na
safari zake, watu waliokuwa ndani ya gari hawakuumia ila mapigo ya moyo
yalikuwa yanakwenda mbio kama Bolt wa Jamaica.
Jionee picha mwenyewe na upate picha ungekuwa wewe ungekuwa
kwenye hali gani
No comments:
Post a Comment