Warembo
30 wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana walitembelea
hifadhi ya taifa ya Mikumi mkoani Morogoro kujionea vivutio mbalimbali
vya utalii viliovyopo katika hifadhi hiyo ambapo waliweza kujionea
wanyama wa aina mbalimbali wakiwepo, Tembo, Twiga, Swala, Viboko na
Simba.
Kaimu Mhifadhi Utalii wa Hifadhi ya Taifa Mikumi, Apaikunda Mungure akigawa vipeperushi kwa warembo.
kundi la simba wakiwa kwenye pozi la mapunziko mikumi national park
Warembo walibahatika kuwaona Simba zaidi ya Saba wakiwamepumzika chini ya mti
No comments:
Post a Comment