Friday, 12 September 2014

Gabrielle Union na Dwyane Wade washare picha za 'fungate' wakiwa Serengeti

Muigizaji wa kike, Gabrielle Union na mpenzi wake Dwyane Wade waliofunga ndoa August 30 huko Miami wako katika mapumziko na fungate aka honeymoon katika maeneo ya Serengeti Tanzania na Maldives.
Jana, walishare kwenye Instagram baadhi ya picha za safari yao wakijiachia ufukweni wa bahari ya Hindi na Serengeti.


"When the Indian Ocean is ya swimming pool... You dive in! But first... Play that @beyonce bab

No comments:

Post a Comment