Akitoa
uamuzi wake jaji Thokozile Masipaal alisema kuwa mwanariadha huyo
alimuua Reeva kwa bahati mbaya alipofyatua risasi kupitia kwa mlango
wake wa choo akiw akatika hali ua mshtuko akidhani kuwa jambazo alikuwa
amevamia nyumba yake.
Alisema kuwa upande wa mashitaka umeshindwa
kuthibitisha kuwa Pistorius alinuia kumuua Steenkamp nw akutekeleza
mauaji hayo kwa kusudi.
Pia alipatikana na hatia ya kosa la kutumia silaha yake visivyo alipokwenda mgahawaniMwanariadha mlemavu wa Afrika Kusini Oscar Pistorius, amepatikana na hatia ya kumuua mpenziwe Reeva Steenkamp kwa bahati mbaya
No comments:
Post a Comment