Tuesday 9 September 2014

Video: Utafurahi ukimwona mtoto wa mnyama Kiboko akifukuza ndegVideo: Utafurahi ukimwona mtoto wa mnyama Kiboko akifukuza ndege

Kuna stori nyingine ukizisikia bila kuona kwa macho yako huwezi kuamini na hata ukiamini huwezi kuipata picha kamili ya mkasa wenyewe ulivyokuwa.

Sasa mtoto wa Kiboko baada ya kuona mama yuko bize jikoni akachepuka bana kwenda kucheza na ndege, utacheka, maana kiboko mnene lakini katingwa kufukuza ndege.

Mama yake alipogundua mwanaye kachepuka alitoka nje fasta na kumwambia arudi ndani, muda wa kucheza umekwisha, tazama video yenyewe nisimalize uhondo.

icheki kwnye link hapa
http://www.dailymotion.com/video/x255inj_baby-hippo-entertains-itself-chasing-birds_fun#from=embediframe
 

No comments:

Post a Comment